Wana TAWJA watembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria

Wana TAWJA watembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria baada ya kuwasili Nigeria kuhudhuria mkutano wa kikanda – Afika wa Chama Cha Majaji Wanawake unaoanza tarehe 8 – 12/6/2026

© 2024 Tanzania Women Judges Association. All Rights Reserved