Siku ya pili ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake

Siku ya pili ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake, mkutano huu unaendelea nchini Nigeria – Abuja, mada kuu Promoting Excellence in Administration of Justice

Mhe Sophia Wambura, Jaji Mstaafu akitoa mada katika mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake Duniani ( IWJA African Region) unaofanyika Abuja Nigeria

© 2024 Tanzania Women Judges Association. All Rights Reserved