Siku ya tatu ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake
Siku ya tatu ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake, mkutano huu unaendelea nchini Nigeria – Abuja, mada kuu Promoting Excellence in Administration of Justice
Mhe Rose Ebrahim, Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro akimkabidhi zawadi toka TAWJA Mhe Kudrat Motonmori Olatokunbo Kekere – Ekun, GCON, FNJIA, Jaji Mkuu wa Mahakama nchini Nigeria
Mhe Rose Ebrahim Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro akimkabidhi zawadi toka TAWJA Mhe Monica Bolona’ an Dongban- Mensem, ( President of Court of Appeal) CFR, Raisi wa Chama Cha Majaji Wanawake Nigeria