Month: June 2026

Siku ya tatu ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake

Siku ya tatu ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake

Siku ya tatu ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake, mkutano huu unaendelea nchini Nigeria – Abuja, mada kuu Promoting Excellence in Administration of Justice

Mhe Rose Ebrahim, Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro akimkabidhi zawadi toka TAWJA Mhe Kudrat Motonmori Olatokunbo Kekere – Ekun, GCON, FNJIA, Jaji Mkuu wa Mahakama nchini Nigeria

Mhe Rose Ebrahim Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro akimkabidhi zawadi toka TAWJA Mhe Monica Bolona’ an Dongban- Mensem, ( President of Court of Appeal) CFR, Raisi wa Chama Cha Majaji Wanawake Nigeria

© 2024 Tanzania Women Judges Association. All Rights Reserved

Siku ya pili ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake

Siku ya pili ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake

Siku ya pili ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake, mkutano huu unaendelea nchini Nigeria – Abuja, mada kuu Promoting Excellence in Administration of Justice

Mhe Sophia Wambura, Jaji Mstaafu akitoa mada katika mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake Duniani ( IWJA African Region) unaofanyika Abuja Nigeria

© 2024 Tanzania Women Judges Association. All Rights Reserved

Siku ya kwanza ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake

Siku ya kwanza ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake

Siku ya kwanza ya mkutano wa kikanda wa Chama Cha Majaji na Mahakimu Wanawake, mkutano huu unaendelea nchini Nigeria – Abuja, mada kuu Promoting Excellence in Administration of Justice

© 2024 Tanzania Women Judges Association. All Rights Reserved

Wana TAWJA watembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria

Wana TAWJA watembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria

Wana TAWJA watembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria baada ya kuwasili Nigeria kuhudhuria mkutano wa kikanda – Afika wa Chama Cha Majaji Wanawake unaoanza tarehe 8 – 12/6/2026

© 2024 Tanzania Women Judges Association. All Rights Reserved